» » Wanawake walio uchi kabisa recipe

Wanawake walio uchi kabisa recipe

Wanawake walio uchi kabisa recipe

Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana
katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, indonesia tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule.

Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo faida kadhaa zinazotokana na kujamiana. Katika makala hii, mwandishi wako Dk. Khamis Hassan anajaribu kutueleza faida za kujamiana kiafya kama ambavyo imewahi kuonekana katika tafiti kadhaa zilizofanyika sehemu mbalimbali duniani.

1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo: Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele.

Hii ni kwa vile homoni ya endorphin inayotolewa wakati wa kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na hivyo kumuepusha mtu na magonjwa wa moyo. Aidha kujamiana angalau mara tatu kwa wiki, husaidia kupunguza uwezekano wa kupata shambulio la moyo (cardiac arrest) na kiharusi.

Uwezekano wa kupata mshtuko wa moyo wakati wa kufanya mapenzi ni mdogo sana, ni asilimia 1 tu ya vifo vyote vinavyotokana na mshtuko wa moyo ndivyo uhusishwa na kujamiana.

Aidha, sababu nyingine inayoongeza uwezekano wa kupata mshtuko wa moyo ni kuwa na uhusiano nje ya ndoa ambapo huchangia karibu asilimia 75 ya vifo vinavyotokana na kujamiana, na karibu asilimia 90 ya vifo hivi hutokea kwa wanaume wazee.

Uwezekano wa kupata shambulio la moyo wakati wa kujamiana huongezeka ikiwa mtu ana miaka zaidi ya 50, uzito uliopitiliza na matatizo ya afya. Hii ni sawa na kusema unaanza kufanya mazoezi mazito kwa ghafla wakati mwili na umri haviruhusu.

2. Huongeza ukakamavu wa mifupa: Wanawake waliokoma kupata hedhi (menopausal women) ambao pia hujamiana angalau mara mbili kwa wiki wana kiwango kikubwa cha homoni ya excess estrogen mara mbili zaidi ya wale ambao hawajamiani.

Homoni hii husaidia kulinda mifupa na kwa wanawake waliokoma kupata hedhi wakosapo homoni hii hupata ugonjwa wa mifupa ujulikanao kama brittle bones.

3.Hupunguza msongo wa mawazo: Kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na shinikizo la damu na humfanya mtu kupata usingizi mnono. Kufikia kilele ni sawa na kunywa 2-3mg za dawa ya diazepam (kumbuka diazepam hufanya mwili kupumzika, muscle relaxant), na hii ndiyo sababu kuu ya kwa nini watu hupata usingizi mzito baada ya kujamiana.

Watu wanaojamiana huweza kuhimili vizuri msongo wa mawazo tofauti na wale ambao hawafanyi hivyo. Aidha watu wanaojamiana huwa na kiwango cha kawaida cha shinikizo la damu kuliko wale wasiojamiana.

Pia kuwepo kwa viasili vyaprostaglandins katika shahawa husaidia kupunguza msongo wa mawazo. Viasili hivi hunyonywa na sehemu za siri za mwanamke. Shahawa pia zina madini ya zinc, calcium, potassium, fructose na protini ambavyo vyote ni muhimu kwa afya njema.

4. Hupunguza maumivu: Kufikia kilele (orgasm) wakati wa kujamiana ni tiba ya maumivu. Homoni ya Oxytocin inayotolewa kwa wingi kabla na wakati wa kujamiana pamoja na viasili vya endorphins hupunguza maumivu ya kichwa, mgongo, kipandauso, baridi yabisi pamoja na dalili zinazotokea baada ya kukoma hedhi (publish menopausal syndrome symptom).

5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume: Wanaume walio na umri wa miaka 50 na zaidi na ambao hujamiana mara kwa mara wana uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume (cancer of the prostate) hali inayotokana na kusafisha tezi dume mara kwa mara wakati wa kujamiana.

Aidha kutoa shahawa wakati wa kujamiana mara 21 au zaidi kwa mwezi kunahusishwa na uwezekano mdogo wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume wenye umri mkubwa ikilinganishwa na kutoa shahawa mara 4 mpaka 7 kwa mwezi.

6. Huongeza uwezo wa kunusa: Baada ya kujamiana, kiwango cha homoni ya prolactin huongezeka, ambayo hufanya seli za ubongo (brain stem cells) kutengeneza seli mpya katika sehemu inayohusika kunusa na kutambua harufu (brain olfactory bulb).

7. Hupunguza uzito na kumfanya mtu kuwa na afya njema: Kujamiana ni mazoezi mazuri. Wakati wa kujamiana, mapigo ya moyo huongezeka kutoka wastani 70/dakika mpaka 150/dakika ambayo ni sawa na mtu anayefanya mazoezi kwa kiwango cha juu. Kujamiana huchoma karibu 200 calories sawa na kukimbia dakika 15 katika mashine ya tredmill. Mwanamke anayefika kilele huchoma calories 47 zaidi.

8. Huongeza kinga ya mwili: Kufanya mapenzi mara moja au mara mbili kwa wiki huongeza kiwango cha seli za kinga aina ya immunoglobulin A kwa robo tatu, na hivyo kumkinga mtu dhidi ya mafua na magonjwa mbalimbali.

9. Kufanya mapenzi huongeza urembo wa mwanamke: Wanawake wanaojamiana angalau mara nne kwa wiki huonekana kuwa na umri mdogo ikilinganishwa na umri wao kwa miaka 7 mpaka 12, hii inatokana na ukweli kuwa kujamiana huongeza homoni ya excess estrogen ambayo hufanya nywele za wanawake kuwa na afya nzuri na ngozi zao kung’aa.

10. Hudhibiti mzunguko wa hedhi kuwa wa kawaida: Wanawake ambao hujamiana angalau mara moja kwa wiki (isipokuwa siku ambazo wako kwenye hedhi) huwa na mzunguko wa hedhi wa kawaida ikilinganishwa na wale ambao hufanya mapenzi kwa nadra au wale ambao hawafanyi kabisa

11. Tendo la ndoa huongeza hali ya kujiamini: Ikiwa litafanyika baina ya wapendao, na tendo lenyewe likawa la furaha na upendo, kujamiana huongeza kujiamini.

12. Huongeza ukakamavu katika misuli ya nyonga (pelvic floor muscles): na hivyo kuzuia mwanamke kupata matatizo ya mkojo au ugonjwa wa kibofu cha mkojo. Wanawake ambao wamekoma kupata hedhi, kufanya mapenzi mara kwa mara huondoa tatizo la kusinyaa kwa sehemu za siri za mwanamke (vagina atrophy) na hivyo kumwepusha na maambukizi katika njia cha mkojo (Urinary System Infection ).

13. Kufanya mapenzi huongeza kasi ya mzunguko wa damu mwilini: Unapojamiana na kufikia kilele, mzunguko wa damu huongezeka maradufu, hivyo kuongeza mzunguko wa hewa aina ya oksijeni kwenda kwenye viungo muhimu kama moyo, ubongo na figo hivyo kusaidia kuondoa uchafu na sumu mbalimbali mwilini.

14. Huongeza hali ya kujithamini au kuthamini mwili wako: Hakuna kitu kizuri kama mtu kutambua ana maumbile mazuri na ya kuvutia, haya yote hupatikana wakati mtu yupo uchi wakati wa kujamiana na mwenza wake kumwambia kwamba ana maumbile mazuri na ya kuvutia, hii huongeza hali ya kujithamini na kujipenda kwa binadamu yoyote.

15. Husaidia kuishi kwa muda mrefu: Kufanya mapenzi angalau mara mbili kwa wiki hurefusha maisha yako. Kila unapofikia kilele, homoni aina ya DHEA (Dihydroepiandrosterone) hutolewa kwa wingi kutokana na raha ya tendo na kufikia kilele.

DHEA huongeza kinga ya mwili, hurekebisha tishu zilizoharibika (hutibu vidonda), huongeza kiwango cha ufanyaji kazi cha ubongo, huiweka ngozi kuwa na afya bora na hupunguza msongo wa mawazo. Kwa hiyo, kuongeza kufikia kilele kuna uwezekano wa kurefusha maisha yako.

16. Kujamiana huongeza upendo na msisimko katika mapenzi, kutokana na kuongezeka kwa homoni ya oxytocin (love hormone), ambayo huleta mshikamano, uaminifu, na unyenyekevu katika uhusiano au kwenye ndoa.

17. Huongeza uwezo wa kuzaa au kutunga mimba: Mara nyingi watu huuliza kama urefu wa uume una uhusiano wowote na uwezo wa kutunga mimba.

Jibu zuri ni hapana! Kufanya mapenzi mara kwa mara huboresha shahawa za mwanamume, huzifanya kuwa katika kiwango kizuri, na kama unataka kupata mtoto, ni bora kufanya mapenzi mara kwa mara sio kutumia shahawa zilizokaa kwa muda wa siku nne.

BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD APPLICATION MPYA YA MASWAYETU BLOG FOR BUSINNES ONLY KAMA UNAMATANGAZO,message me THROUGH innocentlugano60@gmail.com. Click hapa kusoma habari mpya here

Related recipes

Yu yong tau foo recipe
Yong Tau Foo Recipe (Fish Paste Stuffed Tofu,Tahu Isi Ikan) Yong tau foo. yong tofu. yong tao foo. yong tau fu. yong tau hu, oryen tafo in Thailand is popular street vendor soup that consist fish ball, soft tofu and veggies that full of fish paste. This really is initially from Chinese Hakka that
Film cloud atlas bagus gak recipe
Sinopsis Film Cloud Atlas 2012 Film Cloud Atlas adalah sebuah film yang diadaptasi dari sebuah novel yang ditulis oleh David Mitchell. Film ini disutradarai oleh 3 sutradara, diantaranya Tom Tykwer, Andy Wachowski dan Lana Wachowski. Film ini pertama kali rilis di Kanada, 8 September 2012 di
Trail mix recipe halloween bark
Since the mornings are turning awesome, the foliage is beginning to fall and there's an additional crisp in mid-air&... It’s finally time for you to start posting some fall projects and recipes! What is your opinion? Today, I’m discussing an excellent simple recipe for EasyTrail Mix Bark.
Kachori recipe by shireen anwer bagara
Matar Kachori. peas kachori or hare matar ki khasta kachori is flaky, crispy fried pastry full of spiced peas filling and it is popular North Indian breakfast than snack during wintertime when you will find ample of fresh peas in market. Matar Ki kachori is one thing that we relate a great deal and
Deviled eggs recipe relish mustard
I made these for any neighborhood meet up plus they were gone in a minute! Not necessarily, but almost. I made use of Victoria's Louisiana seasoning (world wide web.igourmet.com) inside them and sprinkled all of them with celery salt right before sprinkling the paprika. They were delish! They are
Afritada recipe tagalog version of wikipedia
Yield: 4 Servings ¼ cup oil 2 medium taters, peeled and quartered 1 large carrot, peeled and reduce cubes ½ small red bell pepper, seeded and sliced into ½-inch thick strips ½ small eco-friendly bell pepper, seeded and sliced into ½-inch thick strips 1 (about 3

0 comments

Yummy Desserts

Venta de maquina de donuts recipe
Venta de maquina de donuts recipe
Esta semana Lidl nos tentaba una vez ms disadvantage 1 de sus "TopInch, 1 de esos pequeos electrodomsticos que tanto xito tiene y del que circulan por la red cientos de comentarios, os estoy hablando en mquina de donuts® . Yo estaba deseando comparla y estrenarla para comprobar si de verdad
Best maple glazed donut recipe
Best maple glazed donut recipe
I had been so excited after i had a promo package from Singing Dog Vanilla now, full of organic vanilla beans, extract and paste! Before my little vanilla bean series (take a look at my Homemade Vanilla Bean Pudding or these divine Vanilla Bean Cake Truffles with Toasted Pistachios ). And So I
Pecan pumpkin glazed donuts recipe
Pecan pumpkin glazed donuts recipe
The very best recipe for pumpkin donuts having a pecan glaze which are egg-free. Gluten-free vegan donut recipe for pumpkin donuts. An enjoyable breakfast morning for that holidays. 1/2 cup potato starch 1/2 cup + 2 tablespoons of brown grain flour 1 teaspoon pumpkin cake spice 2 1/2 teaspoon
Cuchillito y tenedor donuts recipe
Cuchillito y tenedor donuts recipe
Seoras y seores no sigan buscando&... Si l'ensemble des sucede lo mismo que a m y van buscando la receta ideal de donuts, l'ensemble des recomiendo que prueben crime tardar esta que hoy l'ensemble des presento. Tras una bsqueda intensa y diversas pruebas disadvantage desigual resultado he

Tasty Soups

Divas can cook cabbage soup diet recipe
Divas can cook cabbage soup diet recipe
I’m likely to Disneyland in a few days and made the decision which i didn’t wish to take my muffin top beside me, especially since i have have this cute form fitting top that I wish to put on sooooo bad&.... WITHOUT SPANX!! When I have to lose my gut or ten pounds rapidly I use 3 diets
Tomato soup recipe crock pot fresh tomatoes
Tomato soup recipe crock pot fresh tomatoes
I’ve made many a tomato soup within my day. This recipe is definitely my personal favorite. It’s easy, it’s comforting, it’s healthy. An easy version created using simple clean stuff&... just veggies, herbs, seasonings, and broth. That’s it. Meaning the soup is both Whole30
Cockaleekie soup recipe with prunes and leeks
Cockaleekie soup recipe with prunes and leeks
Carrying out a effective career like a chef and restaurateur, British born Elaine Lemm is really a highly respected drink and food author and lately voted among the top 50 within the United kingdom. She's an excellent desire for British Food and Irish Food, both modern and traditional. Updated
Recipe potato leek soup with ham
Recipe potato leek soup with ham
Ingredients 2 Tablespoons of unsalted butter 4 cups thinly sliced leeks, white-colored and lightweight eco-friendly parts only 4 cups chicken broth* 2 large russet taters, peeled, reduce 1/2 inch pieces 1/2 teaspoon ground white-colored pepper 2 cups pork, diced 1/4 cup cream or half and half

Healthy Salads

Braised lamb shank recipe greek salad
Braised lamb shank recipe greek salad
Ingredients 3 cups all-purpose flour two tablespoons kosher salt and freshly ground pepper blend (60:40 mixture) 2 (14 to twenty-ounce) lamb shanks two tablespoons grapeseed oil 4 cups dark wine 1 cup peeled and chopped carrots 2 ribs celery, chopped 1/3 cup chopped red onion two tablespoons
Canned tuna and daikon salad recipe
Canned tuna and daikon salad recipe
Feb 17, 2010 Tuna, Parsley & Radish Salad Sometimes I believe I am inside my most creative a few days before vacation. It's among the couple of occasions after i diligently size up exactly what I've within the refrigerator and kitchen, and consider uses of everything before we leave. The hurry
Baby arugula salad dressing recipe
Baby arugula salad dressing recipe
For arugula enthusiasts, this Baby Arugula Salad with Lemon, Balsamic Vinegar, Parmesan, and Pine Nuts would work best with the Thanksgiving table, but I'd eat this salad any season! It had been around three years back which i observed salads with baby arugula, lemon, and Parmesan turning up around
Black eyed pea salad with corn recipe
Black eyed pea salad with corn recipe
Ingredients 1 1/2 cups dried black-eyed peas 1 onion, peeled, decline in half and tied to two cloves 1 bay leaf 2 teaspoons salt plus two tablespoons salt 1 teaspoon freshly ground pepper 10 ears fresh corn, shucked two tablespoons salt 3 thin zucchini, diced 4 crookneck yellow squash, diced 8

Like Pizza?

Pizza nachos recipe pepperoni roll
Pizza nachos recipe pepperoni roll
Heat peanut oil inside a 7- to eight-qt. pot over high until it registers 375 on the chocolate/deep-fry thermometer. Heat essential olive oil and butter inside a saucepan over medium for that creamy pesto. Add garlic clove and prepare 12 minutes. Stir in flour and prepare one minute more. Whiskin
Margarita pizza recipe olive oil
Margarita pizza recipe olive oil
Pizza Margherita is really a pizza prepared based on a recipe from the Italian chef Raffaelle Esposito. The pizza was initially produced in 1899 when Queen Marghereta visited Napels to flee a cholera epidemic in northern Italia. The components used to create a Margherita pizza, tomatos, mozzarella
Pizza sticks recipe by chef gulzar
Pizza sticks recipe by chef gulzar
Many thanks for writing this recipe. When my older sister was at junior high she made these in her own home ec class but yet since that time my mother lost the recipe. (It's been more than fifteen years.) These pizza sticks were certainly one of my personal favorite and I am unable to wait to
Frozen smores dessert pizza recipe
Frozen smores dessert pizza recipe
So tasty! I made use of a stone bar pan also it did not obtain the cookie dough completely baked through (however it was still being super tasty). I'll just give a few minutes towards the bake time the next time. Once I chose to make this, a buddy attempted it with brownies rather of cookie dough,
Go Up